RAIS SAMIA AIPONGEZA AfDB, UTEKELEZAJI MIUNDOMBINU YA BARABARA NCHINI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akifurahi jambo na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dkt. Patricia Laverley, mara baada ya kufungua barabara ya Mbinga – Mbamba Bay (km 66) iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami Mkoani Ruvuma, tarehe 25 Septemba, 2024. Katikati ni Waziri…