Huduma mkoba yatua Songwe | Mwananchi
Songwe. Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Jabiri Omari Makame amewapokea madaktari bingwa 30 wa Rais Samia watakaotoa huduma za matibabu kwenye hospitali tano za halmashauri za mkoa. Huduma zitakazotolewa ni pamoja na matibabu ya magonjwa njia ya uzazi na watoto, huduma za upasuaji wa kibobezi, utoaji wa dawa za usingizi, tiba ya magonjwa ya kawaida,…