
NAMUONA DK. SAMIA AKIENDA KUVUNJA REKODI ZA ASILIMIA ZA USHINDI WA RAIS
Na Said Mwishehe,Michuzi TV KAMPENI za uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu zinaendelea tena kwa vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi huo. Hata Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo Luhaga Mpina naye amechukua fomu,zile changamoto zake za mambo ya kisheria yaliyokuwa mahakamani yamekwisha na Septemba 13 amerudisha fomu kugombea urais. Hata hivyo…