
Ibenge asaka mrithi wa Fei Toto
WAKATI tetesi za kiungo wa Azam, Feisal Salum ‘Fei Toto’ zikizidi kuwa nyingi kwamba huenda akajiunga na Simba au Yanga, kocha mpya wa kikosi hicho Florent Ibenge amejiandaa kwa lolote. Ibenge ambaye ametua Azam akitokea Al-Hilal ya Sudan ndiye atakayekiongoza kikosi hicho msimu ujao akirithi mikoba kutoka kwa Rachid Taoussi. Taarifa kutoka ndani ya Azam…