Yanga sasa wababe wa Kariakoo Dabi

Yanga imeendeleza ubabe kwa Simba baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 katika mchezo wa fainali ya Ngao ya Jamii uliochezwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Shujaa wa Yanga katika mchezo huo alikuwa ni Pacome Zouzoua aliyefumania nyavu katika dakika ya 54 ya mchezo. Ushindi huo umekuwa ni wa sita mfululizo…

Read More

Mgombea ubunge aahidi kuondoa tatizo la maji Uyui

Tabora. Zikiwa zimepita siku chache tangu mgombea urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan, kunadi sera za chama hicho mkoani Tabora, Wilaya ya Uyui nayo imezindua rasmi kampeni zake za uchaguzi. Katika uzinduzi huo, mgombea wa ubunge wa Jimbo la Uyui kupitia CCM, Shaffin Sumar ameahidi kutekeleza ilani ya chama iwapo atapewa ridhaa ya kuongoza. Ametaja…

Read More

Madereva wapewa mbinu kunufaika na stahiki za wafanyakazi

Mwanza. Mikataba ya uonevu, ukosefu wa usalama kazini, kutojiunga na mifuko ya hifadhi ya jamii na kukosa bima za afya, likizo na mikopo, imetajwa kuwa changamoto kubwa zinazowakabili madereva wa bodaboda, bajaji na daladala nchini. Hayo yameelezwa leo Jumanne Septemba 16, 2025 na Ofisa Elimu wa Chama cha Wafanyakazi wa Mawasiliano na Uchukuzi Tanzania (Cotwu),…

Read More

Wasira: CCM tulifanya uamuzi sahihi kwa Samia

Makete. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema uamuzi wa kumchagua Samia Suluhu Hassan awanie kiti cha urais kupitia CCM siyo kumpa zawadi bali ni kutokana na uwezo aliouonesha kuiongoza nchi kwa mafanikio makubwa. Kimesema Samia licha ya kuichukua nchi katika mazingira magumu, lakini aliivusha salama na maendeleo makubwa yameshuhudiwa chini ya uongozi wake. Miongoni mwa mafanikio…

Read More

JKT Queens yanyakua ubingwa CECAFA

HATIMAYE JKT Queens imetawazwa kuwa bingwa wa michuano ya Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) Wanawake baada ya kuitandika Rayon Sports ya Rwanda bao 1-0 katika mchezo wa fainali uliochezwa leo Septemba 16, 2025 kwenye Uwanja wa Moi Kasarani jijini Nairobi nchini Kenya. Bao la Winifrida Gerald dakika ya tano akifunga kwa kichwa baada ya kumalizia…

Read More

Sekondari ya Temeke yapigwa tafu vifaa vya maabara

Dar es Salaam. Katika kutekeleza mkakati wa kuinua ubora wa elimu ya sayansi nchini Tanzania, Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetoa msaada wa Sh10 milioni kwa ajili ya ununuzi wa vifaa vya maabara katika Shule ya Sekondari Temeke. Fedha hizo zimekabidhiwa shuleni hapo, kwa ajili ya kununua vifaa vya maabara…

Read More

Yanga wenyeji, Simba wageni watatu

YANGA imewaweka nje wachezaji wapya wote, ikianza na kikosi chenye wenyeji huku Simba ikija na wapya watatu. Yanga inacheza dhidi ya Simba kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii unaofanyika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam. Kwenye kikosi cha Yanga kilichoanza, hakuna ambaye amesajiliwa dirisha kubwa lililofungwa Septemba 7 mwaka huu. …

Read More