Sababu bima ya vyombo vya moto kuongoza, afya bado
Dar es Salaam. Sekta ya bima nchini inaendelea kushuhudia ukuaji mwaka hadi mwaka, huku bima ya vyombo vya moto ikiongoza kwa kuingiza mapato makubwa, ikifuatiwa na ya maisha, wakati ya afya ikishika nafasi ya tatu kwa mchango wake katika sekta hiyo. Wadau wa sekta ya bima wanasema bima ya vyombo vya moto inaongoza kutokana na…