INADES YAZINDUA BWAWA LA KUNYWESHEA MIFUGO MIGORI IRINGA

Na Mwandishi Wetu, Michuzi TV SHIRIKA la INADES-Formation Tanzania limezindua ujenzi wa bwawa la kunyweshea mifugo (water trough) katika Kijiji cha Migori, Wilaya ya Iringa, kwa lengo la kuboresha upatikanaji wa maji salama na ya uhakika kwa punda na mifugo mingine midogo. Mradi huo unatekelezwa kwa ushirikiano na Brooke East Africa, kwa kushirikiana na Halmashauri…

Read More

Kocha Pamba afungua ‘code’ ya Simba

WAKATI Pamba Jiji ikijipanga kuipokea Simba SC, kocha wa kikosi hicho, Francis Baraza amesema kazi kubwa waliyonayo ni kuwashika wekundu hao pabaya. Mechi hiyo itakayochezwa Machi 19, mwaka huu kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, Baraza alisema eneo lenye nguvu zaidi kwa Simba ni kiungo, hivyo watadili nalo kuhakikisha wanapata ushindi kirahisi wakiwa nyumbani….

Read More

Zanzibar mguu sawa ujenzi kituo cha mikutano kimataifa

Unguja. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imeanza mkakati kabambe kujenga Kituo cha Kimataifa cha kumbi za mikutano na maonesho ya biashara Fumba ambacho kitagharimu zaidi ya Dola za Marekani 124.518 milioni sawa na Sh324.680 bilioni. Katika kuimarisha ukuaji na utafutaji masoko hapa nchini, Kituo hicho kinalenga kuifanya Zanzibar kuwa kitovu cha biashara katika ukanda…

Read More

Wabunge wa Somalia waapishwa kujiunga na Eala

Arusha. Hatimaye wabunge tisa kutoka Somalia wameapishwa rasmi kujiunga na Bunge la Afrika Mashariki (Eala), baada ya mvutano wa kisheria wa muda mrefu kuhusiana na mchakato wa uteuzi na changamoto za kifedha zinazoikabili Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Wabunge hao wameapishwa Machi 17, 2026 jijini Arusha ndani ya makao makuu ya Bunge hilo ambapo wanatarajiwa…

Read More

Serikali yatoa mwelekeo kwa kampuni zake zenye hisa chache

Arusha. Kampuni ambazo Serikali ina umiliki wa hisa chache zimetakiwa kujiendesha kwa ufanisi wa kibiashara, uwazi na mikakati madhubuti ili kuongeza mchango wake katika kufanikisha Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050. Wito huo umetolewa Machi 17, 2026 jijini Arusha na Waziri wa Fedha, Khamis Mussa Omar wakati akifungua mkutano wa wakurugenzi wa kampuni hizo (MIF…

Read More

Ndejembi: Serikali inapambana kuondoa vikwazo matumizi ya nishati safi ya kupikia

Morogoro. Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi amesema Serikali inaendelea kushughulikia changamoto za miundombinu zinazokwamisha usambazaji na matumizi ya nishati safi ya kupikia, hasa vijijini na pembezoni mwa miji. Akizungumza leo Machi 17, 2026 mkoani Morogoro wakati wa kufungua kongamano la wadau wa nishati safi ya kupikia lililoandaliwa na Taasisi ya Uongozi kwa kushirikiana na Wizara…

Read More

Kisa Mayele, Dube aingia anga za Wasauzi

UONGOZI wa Kaizer Chiefs ya Afrika ya Kusini, umeanza kumfuatilia mshambuliaji nyota wa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga, Mzimbabwe, Prince Dube, ambaye mkataba wake na kikosi hicho unafikia tamati mwishoni mwa msimu huu. Taarifa kutoka Afrika Kusini zinaeleza kuwa mabosi wa timu hiyo wanaangalia uwezekano wa kumpata mshambuliaji huyo, baada ya kupata ugumu…

Read More