Mpina: Sitafukuzwa CCM kwa kukemea rushwa

Simiyu. Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema hawezi kuvuliwa uanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), kwa sababu tu ya kuwataja hadharani aliowaita mafisadi na wala rushwa kwa kuwa hata chama hicho kimekuwa kikikemea vitendo hivyo. Mpina kwa sasa anatumikia adhabu ya kutohudhuria vikao 15 vya Bunge,  baada ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya…

Read More

Serikali yakana kuipa bahari, madini Korea Kusini

Dar es Salaam. Serikali imefafanua juu ya mkopo wa Sh6.7 trilioni uliosainiwa kati yake na Korea Kusini, ikieleza kuwa haijatoa sehemu ya bahari wala madini ya kimkakati. Ufafanuzi huo umetolewa leo Juni 4, 2024 na Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi wakati akizungumza na waandishi wa habari kufuatia kuwapo kwa taarifa zinazosambaa katika mitandao ya…

Read More

Makada Chadema kumkabili Lema Kaskazini

Mbeya. Wakati vigogo wa Chadema Kanda za Victoria, Serengeti, Nyasa na Magharibi wakipigana vikumbo kuchukua na kurejesha fomu za kuwania uongozi, baadhi ya makada wa Kanda ya Kaskazini nao wanajipanga kuingia kwenye kinyang’anyiro hicho.  Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na Chadema, uchaguzi wa kanda nne utafanyika Mei mwaka huu na nafasi zinazogombewa katika uchaguzi huo…

Read More

Wakazi wa Manispaa ya Morogoro walia ubovu wa barabara

Morogoro. Wananchi wa Manispaa ya Morogoro wakiwemo madereva wa daladala na vyombo vingine vya moto wamelalamikia ubovu wa baadhi ya barabara katika manispaa hiyo unaosababisha uharibifu wa vipuri vya magari zikiwemo springi, sampo na kuchanika kwa magurudumu. Akizungumza na Mwananchi leo Juni 19, 2025, mmoja wa madereva wa daladala zinazofanya safari zake Kihonda – Manyuki…

Read More

Vita vya Mashariki ya Kati vimekuwa na gharama kubwa – DW – 21.10.2024

Matumizi ya jeshi yameongezeka mara dufu, ukuaji wa uchumi umekwama hasa katika maeneo hatari ya mpakani ambako wakaazi wake walihamishwa. Wachumi wanasema huenda Israel ikakabiliwa na kudorora kwa uwekezaji pamoja wakati vita  ikiharibu bajeti na kuilazimisha kufanya maamuzi magumu kati ya masuala ya kijamii na jeshi. Soma: Viongozi wa Umoja wa Ulaya na Ghuba wakutana katikati…

Read More