Kante, Pacome waibua presha Dabi ya Kariakoo

MUDA mchache kabla ya mchezo wa Ngao ya Jamii unaozikutanisha Yanga dhidi ya Simba, kuna presha iliibuka kwa mashabiki wa pande zote. Tukianza na Yanga, mashabiki wengi walianza kutishwa na taarifa kwamba kiungo wao fundi, Pacome Zouzoua hatakuwa sehemu ya mchezo huo. Hiyo ilitokana na Pacome kutoonekana kucheza mechi ya kilele cha Wiki wa Mwananchi…

Read More

Walioachiwa kwa kukutwa na meno ya tembo, wakutwa na hatia

Arusha. Mahakama Kuu Kanda ya Manyara imebatilisha uamuzi uliowaachia huru Meja Gidarge na Hussein Ally waliokuwa wameshtakiwa kwa kosa la kumiliki nyara za Serikali kinyume cha sheria na kuwatia hatiani kwa kosa hilo. Juni 10, 2024 katika eneo la Kambini Kijiji cha Gijedaboung, Wilaya ya Babati mkoani Manyara, watu hao walidaiwa kukutwa na meno ya…

Read More

Lissu aibua jipya kuhusu mashahidi wa Jamhuri

‎Dar es Salaam.  Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, ameibua hoja mpya dhidi ya mashahidi wa Jamhuri wanaotarajiwa kutoa ushahidi katika kesi ya uhaini inayomkabili, akidai kuwa ni hawastahili kisheria kufika mahakamani kutoa ushahidi kwenye kesi hiyo. Lissu ameibua madai hayo leo Jumanne, Septemba 16, 2025, katika mwendelezo wa usikilizwaji wa…

Read More

Miili mitano ya watu wa familia moja waliofariki ajalini yaagwa

Dar es Salaam. Wabebaji walitumia dakika sita kukamilisha kuyaingiza majeneza yote ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania (KKKT) Usharika wa Kijitonyama na dakika 32 baadaye ibada ya faraja ilianza ikiongozwa na Mchungaji wa kanisa hilo,  Eliona Kimaro. Akisoma wasifu wa marehemu kanisa hapo, msemaji wa familia amesema Francis Elineema Kaggi ameacha mke na…

Read More

KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2025 ,MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA NCHINI AVIFUNDA VYAMA VYA SIASA HANDENI

  Na; Mwandishi Wetu – Handeni Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imevitaka vyama vyote vya siasa katika Wilaya ya Handeni kuhakikisha vinazingatia kanuni, taratibu na sheria zilizowekwa wakati wa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, ili kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa amani, uwazi na kwa mujibu wa sheria. Akizungumza katika kikao kazi na wawakilishi…

Read More

MAFUNDO MCHUNDO WATAKIWA KUZINGATIA HIFADHI YA TABAKA LA OZONI

…………………. Serikali imewataka mafundi mchundo wa majokofu na viyoyozi kuendelea kutumia njia salama za kuhudumia vifaa hivyo pasipo kuathiri mazingira na sanjari na kuzingatia ukomo wa matumizi wa kemikali zinazodhibitiwa.  Wito huo umetolewa na Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Deogratius Paul wakati akifungua mafunzo kwa mafundi viyoyozi na majokofu…

Read More