Usichokijua kuhusu ulaji wa uyoga na maajabu yake

Dar es Salam. Uyoga  ni chanzo kizuri cha madini ya chuma, shaba na protini ambayo hufanya vizuri katika mwilini wa binadamu. Kama ulikuwa hufahamu uyoga una nyuzi nyuzi nyingi na hauna mafuta  na chumvi ya sodium. Mtaalamu wa Sayansi na Teknolojia ya Chakula, Francis Modaha, anasema uyoga una kundi la vitamini B kwa wingi, yaani vitamini B2  (Riboflavin), Niacin na Pantothenic acid. Anasema…

Read More

MERIDIANBET YAPELEKA TABASAMU KIGAMBONI SIKU YA KINA MAMA

KAMPUNI ya Meridianbet imefanikiwa kupeleka tabasamu Kigamboni eneo linalofahamika kama mji mwema, Kwani wataalamu hao wa michezo ya kubashiri wamefika kwenye Zahanati inayopatikana eneo hilo na kutoa msaada kwenye siku ya kina Mama duniani. Katika kuhakikisha wanaonesha kuuthamini mchango wa mwanamke katika jamii walifika katika Zahanati hiyo na kutoa msaada wa vitu mbalimbali ikiwemo chakula,…

Read More

MAKAMU WA RAIS DKT MPANGO AWASILI NCHINI BRAZIL

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Juscelino Kubitschek Jijini Brasilia nchini Brazil ambapo anatarajia kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa pili wa Brazil na Afrika kuhusu Usalama wa Chakula, Mapambano…

Read More

Vifo ajali ya lori, Coaster Mbeya vyafikia 16

Mbeya. Idadi ya vifo katika ajali iliyotokea jana Juni 5, 2024 imeongezeka na kufikia watu 16, huku miili minane ikitambuliwa na ndugu zao na majeruhi wengine wakiendelea na matibabu katika Hospitali ya Rufaa Kanda ya Mbeya. Ajali hiyo iliyotokea katika mteremko wa Simike, eneo la Mbembela lilihusisha lori lililofeli breki na kugonga magari mawili, ikiwamo…

Read More

OnaStories Yaleta Mapinduzi katika Usafiri wa Daladala kwa Kutumia Teknolojia ya Uhalisia Pepe – MWANAHARAKATI MZALENDO

TAASISI ya OnaStories imezindua makala maalum kuhusiana na kada ya usafiri wa daladala kwa mfumo wa kidijitali, kwa lengo la kuifahamisha jamii ya Kitanzania na Kimataifa kutambua historia ya usafiri huo ulipoanzia. Makala hii ni sehemu ya Mradi wa UTANZANIA, ambao unachunguza “Utanzania ni nini?” na kuuliza ni nini hasaa kinachomtambulisha Mtanzania halisi. Mradi huu…

Read More

Sababu tatu zachangia kuua mamia ya vichanga Mwanza

Mwanza. Zaidi ya watoto wachanga 1,452 walifariki dunia mwaka 2023 mkoani Mwanza huku sababu ya kukosa hewa na maambukizi, zikitajwa kuchangia vifo hivyo. Akizungumza Novemba 5, 2024 wakati wa uzinduzi wa programu ya utoaji huduma za afya kwa watoto wachanga (NEST360) katika halmashauri tano za Mkoa wa Mwanza, Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa huo, Dk…

Read More