
DKT.NCHIMBI ACHANJA MBUGA KUZISAKA KURA ZA USHINDI WA KISHINDO WA CCM TANGA.
Mgombea Mwenza wa kiti cha Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi leo Jumanne Septemba 16,2025 ameendelea na mikutano yake ya Kampeni za kusaka kura za ushindi akianzia kufanya mkutano katika viwanja vya Bokwa Wilaya ya Kilindi,na baadae akaelekea wilaya ya Muheza na kuwahutubia Wananchi katika uwanja wa Jitegemee,mkoani Tanga. Akiwa…