
Simbachawene amuelezea Ndugai, waliokuwa wabunge Dodoma wakimlilia
Dodoma. Waliokuwa wabunge wa Mkoa wa Dodoma, wamemtaja marehemu Job Ndugai kuwa ilikuwa alama yao na chuo cha kuwafunda wengine. Ndugai ambaye amedumu katika Jimbo la Kongwa kwa vipindi vitano mfululizo, amefariki dunia jana Jumatano Agosti 6, 2025 Jijini Dodoma. …