
Masista wanne, dereva wafariki dunia ajalini Mwanza
Mwanza. Masista wanne wa Shirika la Wakarmeli Wamisionari wa Mtakatifu Teresia wa Mtoto Yesu, wamefariki dunia baada ya gari lao kugongana uso kwa uso na lori mkoani Mwanza. Waliofariki ni pamoja na Mama Mkuu wa Shirika hilo duniani, Sista Nelina Semeoni (60), raia wa Italia. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Wilbrod Mutafungwa amesema ajali…