
Kipa wa KVZ azitosa mbili Bara
KIPA tegemeo wa KVZ anayeidakia pia timu ya taifa ya Zanzibar, Zanzibar Heroes, Suleiman Said Abraham amezikacha timu mbili za Ligi Kuu Bara, Tabora United na Pamba Jiji na kutua Namungo. Namungo imefanikiwa kunasa saini ya kipa huyo, baada ya kuzizidi ujanja Tabora na Pamba ambazo nazo zilikuwa zikimwinda kwa muda mrefu. Suleiman amemwaga wino…