
Abdul Mluya: Mgombea urais DP mwenye ufunguo wa neema kwa diaspora
Mwaka 1995, joto ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) lilikuwa kali. Mchuano wa kuwania tiketi ya chama hicho kwenye mbio za urais ulikaribia kukipasua chama. Jakaya Kikwete, baada ya kuongoza hatua ya tatu bora kwenye Mkutano Mkuu, ilitangazwa yafanyike marudio kwa sababu hakuvuka asilimia 50, wakati Katiba ya chama haikuwa ikisema hivyo. Kikwete aliongoza dhidi…