
Bashe: Mazao ya wakulima kuuzwa kidijitaji
Dar es Salaam. Serikali imekuja na mfumo ambao utawezesha ufuatiliaji wa moja kwa moja wa mazao yanayonunuliwa na Wakala wa Hifadhi wa chakula wa Taifa (NFRA), huku ukitajwa kuondoa kilio cha wakulima kudai kuibiwa. Mfumo huo wa kidijitali utamuwezesha mkulima kupata risiti ya mzigo wake kupitia simu ya mkononi, juu ya uzito wa mzigo husika…