
Watupwa jela wakituhumiwa kupanga kumuua rais kichawi
Lusaka. Mahakama kuu nchini Zambia imewahukumu wanaume wawili kifungo cha miaka miwili na miezi sita jela baada ya kuwakuta na tuhuma za kujaribu kumuua Rais wa taifa hilo Hakainde Hichilema kwa kutumia uchawi. Imeelezwa kuwa watuhumiwa hao Leonard Phiri na Jasten Mabulesse Candunde walitiwa hatiani chini ya Sheria ya Uchawi baada ya kukamatwa Desemba wakiwa na…