
DC MPOGOLO ATOA MAELEKEZO SIKU YA LISHE
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, ameongoza maadhimisho ya Siku ya Lishe Duniani, ambayo kiwilaya yamefantika katika viwanja vya Shule ya Msingi Majohe, huku akitoa maelekezo kadhaa. Akizungumza katika maadhimisho hayo, jijini Dar es Salaam, DC Mpogolo, ameelekeza chakula kutolewa shuleni kuwa ni jambo lazima hivyo kuzitaka kamati za shule, maofisa elimu kata na…