Wagosi wa kaya wapo tayari Bara

KOCHA Mkuu wa Coastal Union, Ally Ameir amesema kikosi hicho kipo tayari kukabiliana na Tanzania Prisons katika mechi ya kwanza ya Ligi Kuu Bara inayotarajiwa kupigwa Septemba 17, kwenye Uwanja wa Mkwakwani, jijini Tanga. Pambano hilo la Wagosi wa Kaya waliowahi kuwa mabingwa wa Ligi Kuu (enzi za Ligi Daraja la Kwanza) mwaka 1988, ni…

Read More

Mwenyekiti marefarii wa Taekwondo duniani aipa neno Tanzania

Mwenyekiti wa marefari wa Shirikisho la Taekwondo la Dunia,  Dk Jun Cheol Yoon amesema Tanzania ina fursa ya kufanya vizuri kimataifa katika mchezo huo endapo itaongeza  nguvu kuandaa timu za vijana. Yoon yupo nchini kuendesha mafunzo ya kimataifa ya makocha wa Taekwondo, yanayofanyika kwa wiki mbili hadi Septemba 26, 2025 kwenye Kituo cha Olympafrica kilichopo…

Read More

DKT.NCHIMBI AOMBA WANANCHI HANDENI KUICHAGUA CCM KWA KURA NYINGI ILI ISHINDE KWA KISHINDO UCHAGUZI MKUU.

MGOMBEA Urais mwenza kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi amewaomba wananchi wa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga kukipigia kura Chama hicho ili kishinde kwa kura nyingi katika Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 29,2025. Ametoa ombi hilo alipokuwa akihutubia maelfu ya Wananchi waliofika kumsikiliza,katika uwanja wa Kigoda leo Septemba 15, 2025 wilayani…

Read More

AZZA HILLAL AMUOMBEA KURA AHMED SALUM, DR. SAMIA

Mgombea Ubunge Jimbo la Itwangi Azza Hillal Hamad akizungumza kwenye mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi Jimbo la SolwaMgombea Ubunge Jimbo la Itwangi Azza Hillal Hamad akiomba kura kwa ajili ya Dkt. Samia Suluhu Hassan, Ahmed Salum, Madiwani wa CCM na yeye mwenyewe akizungumza kwenye mkutano wa uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi Jimbo la…

Read More

Kinachomfanya Dk. Samia kuwa mgombea wa kipekee

Na Hafidh Kido KATIKA Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025, wagombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hadi sasa ni 16 baada ya mgombea wa Chama cha ACT-Wazalendo kuenguliwa ambapo kwa sasa vyama vilivyopo kwenye kampeni ni; CCM, NCCR-Mageuzi, CUF, CHAUMMA,TADEA, TLP, MAKINI, NLD, SAU, DP, UPDP, CCK, AAFP, UMD, UDP na NRA. Chama…

Read More