Chukwu: Simba, Yanga zinaficha ukubwa wa Singida

KIUNGO wa Singida Black Stars, Morice Chukwu amesema licha ya ushindani kuwa mkubwa, lakini Singida Black Stars ni timu kubwa katika Ligi Kuu Bara, ila makali yake hayaonekani kwa sababu ya Simba na Yanga. Chukwu ambaye alitua Bongo kwa mara ya kwanza akiwa na kikosi cha Rivers United ya Nigeria katika michuano ya Kombe la…

Read More

Malindi kurejea Unguja na pointi tatu za Chipukizi

TIMU ya Malindi kutoka Unguja, imefanikiwa kuvuna alama tatu kwa kuifunga Chipukizi bao 1-0 katika mechi ya Ligi Kuu Zanzibar iliyochezwa Septemba 27, 2025 kwenye Uwanja Gombani uliopo kisiwani Pemba. Bao hilo lilifungwa na Tchakei Moucheri dakika 15 akimalizia pasi ya Ramadhan Mponda ambapo lilidumu hadi timu hizo zinakwenda mapumziko. Kipindi cha pili kilianza kwa…

Read More

Kufunga kwampa mzuka Adeyum Saleh

BEKI wa kushoto wa Bigman, Adeyum Saleh, amesema siri ya kufunga mabao zaidi kwa sasa katika kikosi hicho ni kutokana na umakini mkubwa aliokuwa nao wa kumalizia nafasi, hususani anapokuwa anatengeneza mashambulizi kutokea pembeni ya uwanja. Akizungumza na Mwanaspoti, Adeyum aliyejiunga na kikosi hicho msimu huu baada ya kuachana na Geita Gold, amesemamechi za hivi…

Read More

CHAN 2024: Morocco yaivua ubingwa Senegal

MABINGWA wa kihistoria wa Fainali za Ubingwa kwa Mataifa ya Afrika (CHAN) 2024, Morocco wamefuzu fainali ya michuano hiyo kwa kuivua ubingwa Senegal. Katika mchezo wa nusu fainali uliochezwa leo Agosti 26, 2025 kwenye Uwanja wa Mandela uliopo Kampala nchini Uganda, mikwaju ya penalti 5-3 imetosha kuifanya Morocco kuwa mbabe mbele ya Senegal, timu iliyokuwa…

Read More