Uchumi Waendelea Kuimarika, Miundombinu Yazidi Kuchochea Ukuaji
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV Ukuaji wa uchumi kwa Tanzania Bara unakadiriwa kufikia asilimia 5.8 katika robo ya kwanza na asilimia 5.5 katika robo ya pili ya mwaka 2025, ukuaji ambao umechangiwa zaidi na sekta za kilimo, ujenzi na huduma za fedha na bima. Ameyasema hayo leo Julai 3, 2025 Jijini Dar es Salaam Gavana…