WAZIRI DKT GWAJIMA AIELEZA DUNIA MAFANIKIO YA MAPAMBANO DHIDI YA UKEKETAJI
Na WMMJW- New York Marekani. SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo, inaendelea kuimarisha hatua za kinga na huduma kwa waathirika wa ukatili wa kijinsia na watoto kupitia utekelezaji wa Mpango wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto (NPA–VAWC II) wa mwaka 2024/25 hadi 2028/29 pamoja…