RAIS SAMIA ALIPIA WASIOWEZA GHARAMA UPANDIKIZAJI FIGO
Wagonjwa wenye changamoto ya figo wanaohitaji kupandikizwa figo ambayo ni tiba stahiki kwa wagonjwa wanaosafisha damu na hawana uwezo wa kulipia gharama za upandikizaji watahudumiwa kupitia fedha alizotoa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Hospitali ya Taifa Muhimbili ili ziweze kufanya kazi hiyo. Hayo yamesemwa leo…