TTCL YALETA FURAHA KWA WATUMIAJI WA INTANETI, YAJA NA FAIBA ‘SUPERSONIC EXPERIENCE’ YENYE KASI BALAA

Mkurugenzi wa Biashara wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Bw. Vedastus Mwita akizungumza na vyombo vya habari katika hafla ya uzinduzi wa kifurushi kipya kijulikanano kama TTCL Faiba ‘Supersonic Experience’ Kasi Balaa. Huduma hiyo ya vifurishi inampa mteja fursa ya kupata intaneti yenye kasi, gharama nafuu pamoja na muda wa maongezi ya simu. Mkurugenzi wa…

Read More

“HAKUNA CHAKULA BILA MISITU” MHE. CHANDE

…………… Na Saidi Lufune, Katavi Wakati Tanzania ikijiandaa kuadhimisha siku ya misitu Duniani Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), amewataka watanzania kushirikiana na Taasisi za uhifadhi nchini katika uhifadhi wa Misitu kuongeza chachu ya maendeleo endelevu kupitia misitu iliyopo hapa nchini Mhe. Chande amebainisha hayo Mkoani Katavi katika mkutano wa…

Read More

Dube atua anga za Wasauzi

UONGOZI wa Kaizer Chiefs ya Afrika ya Kusini, umeanza kumfuatilia mshambuliaji nyota wa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga, Mzimbabwe, Prince Dube, ambaye mkataba wake na kikosi hicho unafikia tamati mwishoni mwa msimu huu. Taarifa kutoka Afrika Kusini zinaeleza kuwa mabosi wa timu hiyo wanaangalia uwezekano wa kumpata mshambuliaji huyo, baada ya kupata ugumu…

Read More

Katika CSW70, Mawakili Wanaonya Migogoro Inaongeza Vikwazo kwa Haki kwa Wanawake na Wasichana – Masuala ya Ulimwenguni

Mkurugenzi Mtendaji wa UN Women, Sima Bahous akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Sabini wa Kamisheni kuhusu Hadhi ya Wanawake. Credit: UN Photo/Evan Schneider na Oritro Karim (umoja wa mataifa) Jumanne, Machi 17, 2026 Inter Press Service UMOJA WA MATAIFA, Machi 17 (IPS) – Kikao cha 70 cha Tume ya Hadhi ya Wanawake (CSW70)…

Read More