
Amarula Sundown Sessions Yazua Mwendo Jijini Dar
Jumapili usiku, tarehe 7 Septemba 2025, jiji la Dar es Salaam lilichomoka kwa shangwe pale Amarula Sundown Sessions lilipofanyika – tukio lililosheheni mastaa, influencers, na watu mashuhuri kutoka kila kona ya jiji. Usiku huo ulikuwa wa burudani ya hali ya juu: muziki ulirukaruka kwenye midomo ya wapenzi wa vibes, vinywaji vya Amarula vilivyotengenezwa kwa ubunifu…