BALOZI NCHIMBI AONYA VIONGOZI KUTOA KAULI ZA KIBAGUZI

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amewataka viongozi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuepuka kutoa kauli au kufanya vitendo vyenye taswira inayoweza kutafsiriwa kuwa baadhi yao wanashabikia ukandamizaji wa haki za wananchi. Katibu Mkuu Balozi Dkt. Nchimbi amesisitiza kuwa maneno na vitendo vya wana-CCM wakati wote lazima…

Read More

Walimu Zanzibar Wapigwa Msasa umahiri wa ufundishaji

Taasisi ya Mwanyanya Green Society imeanza kutekeleza mradi mkubwa wa kuboresha ubora wa elimu katika shule za msingi za Wilaya ya Kaskazini B, Zanzibar.  Mradi huu, unaofadhiliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi, na Utamaduni (UNESCO) kwa kushirikiana na Alwaleed Philanthropies, unalenga kuwajengea walimu uwezo kupitia mafunzo ya mbinu za kisasa za…

Read More

Aliyehukumiwa miaka 30 jela aangua kilio mahakamani

Mshtakiwa wa kesi ya ubakaji, Damas Gwimile ameangua kilio katika Mahakama ya Wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani wakati akisomewa hukumu ya kifungo cha miaka 30 jela pamoja na viboko 12. Gwimile, ambaye ni mkazi wa Kidimu wilayani Kibaha, alihukumiwa baada ya Mahakama kuthibitisha pasipo shaka kwamba alitenda kosa la kumbaka msichana mwenye umri wa…

Read More

Burundi yarekodi visa vya kwanza vya mpox – DW – 26.07.2024

Mpox, zamani monkeypox, ni ugonjwa wa kuambukiza unaosababishwa na virusi vinavyohamishwa kwa binadamu kutoka wanyama walioambukizwa na ambavyo vinaweza kuambukiza miongoni mwa wanadamu kupitia kugusana kimwili. Mlipuko wa kimataifa miaka miwili iliyopita ulipelekea shirika la afya duniani, WHO, kuitangaza mpox kuwa janga la dharura la kiafya linalozusha wasiwasi kimataifa, ambayo ni tahadhari kubwa zaidi linaloweza…

Read More

FIFA na UEFA zilitumia vibaya nafasi zao – DW – 27.05.2024

Shirikisho la Soka Duniani, FIFA, na Shirikisho la Kandanda barani Ulaya, UEFA “walitumia vibaya nafasi zao kuu” na “kuzuia ushindani” kwa kukataa kuundwa kwa Ligi mpya ya Ulaya “Super League”. Hayo yameelezwa katika uamuzi uliotolewa na mahakama moja ya nchini Uhispania leo Jumatatu. Mahakama hiyo imesema kwamba FIFA na UEFA wameweka “vizuizi visivyo na sababu…

Read More