
Mteule Geita Mjini kuanza na vipaumbele hivi
Geita. Mgombea ubunge wa Jimbo la Geita Mjini, Chacha Wambura amesema endapo atachaguliwa kuongoza jimbo hilo kwa kipindi cha 2025/30 kipaumbele chake cha kwanza ni kuboresha sekta ya elimu, maji, afya na miundombinu ya barabara. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni uliofanyika katika Kijiji cha Nyaseke, Kata ya Bulela leo Septemba 15, 2025, mgombea huyo…