
Hoja tofauti mwelekeo wa kuzika, maana yake kiimani, kimila
Dodoma. Kaburi ni nyumba ya mwisho inayoulaza mwili wa mwanadamu katika usingizi wa milele, huku dini na mila zote wakiungana katika imani kuwa waliolala humo nafsi zao huishi au siku moja watakutana nao peponi. Miongoni mwa nyumba zinazoheshimiwa ni pamoja na kaburi ambalo umiliki na makazi yake ni mtu mmoja ambaye hawezi kuzungumza na jirani…