
Lissu ngoma ngumu, arusha karata mpya
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amerusha karata nyingine katika harakati za kujiondoa kwenye kesi ya uhaini inayomkabili, baada ya kupinga hati ya shtaka linalomkabili akidai ni batili kutokana na kukiuka masharti ya sheria. Hiyo ni hatua ya pili ya Lissu kutupa karata yake katika harakati za kujinasua na…