
Waliofariki ziara ya CCM waagwa, waandishi wagoma msibani
Mbeya. Rais Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa familia zilizopoteza ndugu, jamaa na marafiki pamoja na majeruhi katika ajali iliyotokea mkoani Mbeya. Ajali hiyo ilitokea juzi Februari 25 katika eneo la Shamwengo wilayani Mbeya ikihusisha gari la Serikali na basi la Kampuni ya CRN wakati wa hitimisho ya ziara ya Mwenyekiti wa Jumuiya…