
Siku 90 ngumu za mateso kwa Fountain Gate Ligi kuu Bara
WAKATI kesho Septemba 25, 2025 Fountain Gate usiku ikitarajiwa kuwa mgeni wa Simba katika mechi ya kwanza ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba, timu hiyo ina takribani siku 90 za mateso. Fountain Gate ambayo mechi ya kwanza ya ligi ilipasuka nyumbani kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Mbeya City, ina wachezaji 14 pekee walioingizwa…