Mwanamnyeto awaita mashabiki Kwa Mkapa
Nahodha wa Yanga, Bakari Mwamnyeto amewaita mashabiki kujitokeza kwa wingi kushuhudia mbinu bora za kocha Romain Folz na ubora wa nyota wapya. Mwamnyeto amefunguka hayo mbele ya wanahabari akisisitiza, wapo tayari kutoa burudani kwa mashabiki ambao watajitokeza Uwanja wa Mkapa, huku akiweka wazi tayari wameingia katika mfumo wa kocha huyo. “Licha ya kwamba kocha ni…