TTCL YALETA MAPINDUZI YA INTANETI YA KASI KUBWA NCHINI
***** Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limezindua huduma mpya ya intaneti ya kasi kubwa ijulikanayo Faiba Supersonic Experience, Kasi Balaa kwa lengo la kuimarisha huduma za mawasiliano nchini. Uzinduzi huo ni sehemu ya juhudi za TTCL kuendana na kasi ya ukuaji wa teknolojia ya kidijitali na mahitaji ya watumiaji wa intaneti. Mkurugenzi wa Biashara wa…