
Dk Tulia: Wanaoisifu kazi ya Ndugai ni wengi kuliko wanaobeza
Dar es Salaam. Spika wa Bunge la Tanzania, Dk Tulia Ackson amesema maisha ya kujitolea ya Spika mstaafu, hayati, Job Ndugai (62) yanasifiwa na wengi, kuliko idadi ya wanaoyabeza. Ametumia maneno hayo pia, kumweleza Rais Samia Suluhu Hassan kuwa, walio upande wake ni wengi kuliko waliopo kinyume naye, hivyo hapaswi kuogopa. Dk Tulia ameyasema hayo…