Serikali kuendelea kupeleka  wanafunzi nje kusomea AI

Dar es Salaam. Katika wakati ambao dunia inaingia kwa kasi katika mapinduzi ya teknolojia ya akili unde, Serikali imebainisha kuwa itachukua hatua za makusudi kuhakikisha Tanzania haibaki nyuma katika ushindani wa maarifa na teknolojia. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Adolf Mkenda amesema Serikali imeanza kampeni ya kuandaa wataalamu wa teknolojia hizo kwa kuwapeleka wanafunzi…

Read More

DARAJA LA MKUYUNI LIMEANZA ‘KULIPA’

******* Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema kukamilika kwa ujenzi wa Daraja la Mkuyuni mkoani Mwanza tayari kumeanza kuonyesha matunda katika siku zake za awali. Akizungumza na wananchi mara baada ya ukaguzi wa daraja hilo leo Machi 16, 2026, Ulega alisema wakazi wa Mwanza ni mashahidi wa hali hiyo hasa kufuatia matukio ya karibuni ya…

Read More

Januari Makamba Atoa futari kwa taasisi za dini Tanga.

Na Mashaka Mhando, TANGA MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Januari Makamba, ametoa msaada wa futari kwa taasisi nane za kidini jijini Tanga, ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono waumini katika mwezi mtukufu wa Ramadhan. Zoezi hilo lililofanyika Leo Machi 16 Jijini Tanga, limenufaisha taasisi za TAMTA, Maawal Chumbageni, Zahara Rashad, Shamsi…

Read More

Ulega aeleza jinsi Daraja la Mkuyuni lilivyonusuru watu

Mwanza. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema kukamilika kwa ujenzi wa Daraja la Mkuyuni mkoani Mwanza kumeanza kuonesha matunda katika siku zake za awali. Akizungumza na wananchi baada ya ukaguzi wa daraja hilo leo Jumatatu, Machi 16, 2026, Waziri Ulega amesema wakazi wa Mwanza ni mashahidi wa hali hiyo, hasa kufuatia matukio ya karibuni ya…

Read More