Ulega aeleza jinsi Daraja la Mkuyuni lilivyonusuru watu
Mwanza. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema kukamilika kwa ujenzi wa Daraja la Mkuyuni mkoani Mwanza kumeanza kuonesha matunda katika siku zake za awali. Akizungumza na wananchi baada ya ukaguzi wa daraja hilo leo Jumatatu, Machi 16, 2026, Waziri Ulega amesema wakazi wa Mwanza ni mashahidi wa hali hiyo, hasa kufuatia matukio ya karibuni ya…