
Dk Biteko aungana na waombolezaji maziko ya Askofu Sendoro Mwanga
Mwanga. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amewasili katika Kanisa Kuu la Mwanga kuungana na mamia ya waombolezaji katika ibada ya maziko ya aliyekuwa Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mwanga, Askofu Chediel Sendoro. Maziko ya Askofu Sendoro, yanafanyika leo, Septemba 17, 2024, katika Kanisa Kuu,…