DKT. BITEKO ATAKA UTOAJI HUDUMA USIWE WA KIBAGUZI

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema Serikali itaendelea kuboresha miundombinu ya utoaji wa huduma za saratani na vifaa tiba ili kutanua wigo wa huduma za Saratani nchini na hivyo kuwezesha upatikanaji wa huduma hizo kwa urahisi. Dkt. Biteko amesema hayo tarehe 2 Mei, 2024 wakati akimwakilisha Rais, Dkt. Samia…

Read More

Mwabukusi: Nitatumia sheria kuwawajibisha watumishi serikalini

Dar es Salaam. Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi amesema atafuata taratibu na itifaki za nyadhifa za viongozi wa Serikali atakapoingia katika ofisi zao kuomba ushirikiano na ikishindikana atawalazimisha kushirikiana kupitia nguvu ya sheria. Kinachompa nguvu ya kufanya hivyo ni kile alichofafanua kuwa, watumishi wa umma wanawajibika kwa wananchi kwa mujibu wa…

Read More

Miradi ya umeme kusisimua uchumi wa Kigoma

Dar es Salaam. Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (Rea), Hassan Saidy amesema vijiji 279 kati ya 306 vya Mkoa wa Kigoma vimeunganishwa na umeme. Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari leo Alhamisi Septemba 19, 2024 na Rea imeeleza mbali na vijiji hivyo, mchakato wa kupeleka huduma ya umeme katika vitongoji 595 imeanza na…

Read More

Mtanzania matumaini kibao Misri | Mwanaspoti

NYOTA wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga TUT FC inayoshiriki Ligi ya Wanawake nchini Misri, Hasnath Ubamba amesema anaamini utakuwa msimu bora kwake licha ya kwamba ni mara ya kwanza kucheza nje ya mipaka ya Tanzania. Mshambuliaji huyo alisajiliwa msimu huu kwa mkopo wa mwaka mmoja na mabingwa hao wa Misri akitokea Fountain Gate Princess inayoshiriki…

Read More

Kilio chasikika, tathmini mpya kufanyika daraja la juu Amani

Unguja. Baada ya kutoa malalamiko kuhusu fidia ndogo, wananchi wanaotakiwa kupisha mradi wa ujenzi wa barabara za mjini, likiwamo daraja la juu la Amani, Serikali imeagiza kufanyika mapitio ya tathmini iliyofanywa, ili kubaini uhalisia na kila mtu apate haki anayostahili. Hatua hiyo imefikiwa leo Agosti 9, 2025 baada ya mawaziri watatu wanaohusika katika mchakato huo…

Read More