
Simbu aiandika rekodi Duniani akiipa Tanzania dhahabu ya kwanza
Historia imeandikwa kwenye mashindano ya Dunia ya Riadha 2025 baada ya mwanariadha, Alphonce Simbu kuibuka kinara wa mbio hizo na kuipa Tanzania medali ya dhahabu ya kwanza kwenye mashindano hayo yaliyofanyika asubuhi ya leo Septemba 15, 2025 Jijini Tokyo, Japan. Simbu ameandika historia hiyo baada ya kumaliza mbio za kilomita 42 kwa saa 2:09.48 huku…