Mwenyekiti wa CCM Itilima afariki dunia
Simiyu. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Itilima, mkoani Simiyu, Mhuli Ngeleja amefariki Machi 18, 2026 huku CCM ikimtaja kama kiongozi shupavu na mwadilifu. Taarifa iliyotolewa leo Ijumaa Machi 20, 2026 na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenan Kihongosi, imeeleza kuwa chama kimepoteza kiongozi shupavu, mwadilifu na…