


TFF Yatangaza Viingilio Ngao ya Jamii Simba vs Yanga – Global Publishers
Last updated Sep 14, 2025 Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza viingilio vya mchezo wa Ngao ya Jamii utakaowakutanisha mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga SC, dhidi ya watani wao wa jadi, Simba SC, Septemba 16, 2025 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia saa 11:00 jioni. Kwa mujibu wa taarifa…

Waziri Mkuu Awataka Wana-Lindi Kumchagua Dkt. Samia Oktoba 29 – Global Publishers
Last updated Sep 14, 2025 LINDI-Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Wana-Lindi wanakila sababu ya kumchagua Dkt.Samia Suluhu Hassan katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29,mwaka huu. Amesema kuwa,Rais Dkt.Samia amegusa matamanio ya Wana-Lindi kwa kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo…

MGOMBEA URAIS CCM DK.SAMIA AUTAJA KIGOMA KAMA MKOA WA KIMKAKATI KIUCHUMI,BIASHARA
*Aelezea hatua kwa hatua yanayokwenda kufanyika Kigoma miaka mitano ijayo *Maelfu ya wananchi wampa Vibe la maana alipokuwa akiomba kura kuelekea Oktoba 29 Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Kigoma MAELFU ya wananchi wa Mkoa wa Kigoma hasa Kigoma Mjini wamejitokeza kwa wingi katika mkutano wa kampeni wa mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM)Rais Dk.Samia Suluhu Hassan ambaye…

DK.SAMIA:WANANCHI WALIOPISHA UPANUZI UWANJA WA NDEGE KIGOMA WATALIPWA FIDIA ZAO
Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Kigoma MGOMBEA Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM) katika Uchaguzi Mkuu mwaka huu Rais Dk.Samia Suluhu Hassan amesema fidia kwa wananchi kwa waliopisha upanuzi wa uwanja wa ndege mkoani Kigoma watalipwa kwani Serikali ya Chama hicho haitamdhulumu mtu. Dk.Samia ametoa kauli hiyo leo Septemba 14,2025 alipokuwa akizungumza na maelfu ya wananchi wa Jimbo…

ODILIA : KATAMBI MTU KAZI, OKTOBA 29 KURA ZOTE CCM
Katibu wa CCM Mkoa wa Shinyanga Odilia Batimayo akimnadi Mgombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini Mhe. Patrobas Katambi wakati wa uzinduzi wa Kampeni Jimbo la Shinyanga Mjini uliofanyika Jumapili Septemba 14,2025 katika kata ya Ndala Manispaa ya Shinyanga – Picha na Marco Maduhu na Kadama Malunde Na Marco Maduhu,Shinyanga Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)…

Ukata unavyotesa vyama vya upinzani
Dar/ mikoani. Kampeni si lelemama ndivyo unaweza kuelezea kile kinachotokea kwa baadhi ya vyama vya siasa vya upinzani kushindwa kufanya mikutano ya kampeni, huku suala la ukata likitajwa kuwa miongoni mwa sababu za tatizo hilo. Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), ndicho pekee katika vyama vya upinzani kinachoonekana kufanya mikutano kwa kuzingatia ratiba iliyotolewa na…

Tanzania inavyoonekana machoni mwa wadau suala la demokrasia
Dar es Salaam. Ikiwa kesho, Septemba 15, dunia itaadhimisha Siku ya Demokrasia, wadau wa siasa nchini wameibuka na mitazamo tofauti juu ya hali ya demokrasia Tanzania, baadhi wakisema imeimarika na wengine wakidai bado zipo dosari. Wamedai dosari hizo zinahitaji meza ya mazungumzo na kupendekeza yafanyike baada ya uchaguzi wa mkuu wa Rais, wabunge, wajumbe wa…

RC Iringa awahamasisha mafundi kutumia teknolojia za kisasa kuboresha kazi
Iringa. Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, amewataka mafundi mkoani humo kuhakikisha kazi zao zinakuwa na ubora unaokidhi ushindani wa soko kwa kutumia teknolojia za kisasa na nyenzo bora. Akizungumza leo Septemba 14, 2025, wakati wa kongamano la mafundi lililoandaliwa na kampuni ya Magic Builders, James amesema mafundi ni nguzo muhimu ya maendeleo ya…

Othman akomaa na ahadi ya kuimarisha demokrasia
Unguja. Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, amesema endapo akishika madaraka Oktoba 29, mwaka huu atahakikisha anajenga demokrasia ili Wazanzibari wawe huru kuchagua na kuchaguliwa katika chaguzi huru. Amefafanua kuwa Serikali atakayoiunda itakomesha utaratibu wa viongozi kuchaguliwa kwa njia zisizo halali, hali inayosababisha Wazanzibari kupokwa haki yao ya kuchagua…