
Tanzania inavyoonekana machoni mwa wadau suala la demokrasia
Dar es Salaam. Ikiwa kesho, Septemba 15, dunia itaadhimisha Siku ya Demokrasia, wadau wa siasa nchini wameibuka na mitazamo tofauti juu ya hali ya demokrasia Tanzania, baadhi wakisema imeimarika na wengine wakidai bado zipo dosari. Wamedai dosari hizo zinahitaji meza ya mazungumzo na kupendekeza yafanyike baada ya uchaguzi wa mkuu wa Rais, wabunge, wajumbe wa…