
Spika Tulia amfunda Kombo jinsi ya kumsaidia Samia
SPIKA wa Bunge na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dk. Tulia Ackson amemtaka Mbunge mteule, Balozi Mahmoud Thabit Kombo kumsaidia Rais Samia Suluhu Hassan katika kuhakikisha wanaendeleza mahusiano kati ya Jumuiya ya Afrika Mashariki na Kimataifa. Amesema Rais Samia anatekeleza mipango mingi hivyo, wana jukumu la kumsaidia katika kutekeleza mipango hiyo kama alivyowaamini….