Vodacom Tanzania yazindua Dira ya 2030, yawekeza zaidi ya dola 100 milioni uboreshaji miundombinu ya teknolojia kwa uchumi jumuishi wa kidijitali

Kampuni ya Teknolojia na Mawasiliano, Vodacom Tanzania inapoadhimisha miaka 25 ya huduma hapa nchini imeweka msingi wa kizazi kijacho kwa kutangaza mpango wa kisasa wa teknolojia wenye thamani ya zaidi ya dola 100m ikiwa ni moja ya uwekezaji mkubwa zaidi wa miundombinu katika historia yake. Mpango huu wa kihistoria unalenga kubadilisha hali ya mtandao nchini…

Read More

RC Malisa apongeza TBS kwa kuwainua wajasiriamali kupitia maonesho ya biashara

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mheshimiwa Beno Malisa, ameipongeza Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa juhudi zake za kuwafikia na kuwahudumia wajasiriamali kupitia maonesho mbalimbali ya kibiashara nchini. Akizungumza wakati wa Tamasha la Maonesho ya Kimataifa ya Kusini ya Biashara yanayoendelea mkoani Mbeya, Mh. Malisa alisema hatua ya TBS kutembelea na kutoa msaada wa kitaalamu…

Read More

Mwakwama CUF ataja vipaumbele vitano Uyole

Mbeya. Mgombea Ubunge wa Jimbo la Uyole kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Ibrahim Mwakwama, ametaja vipaumbele vitano ambavyo atavifanyia kazi iwapo atachaguliwa, huku akisisitiza uongozi shirikishi na kulaani vitendo vya utekaji. Akihutubia wananchi leo Jumapili Septemba 14, 2025 katika mkutano wa kampeni uliofanyika Uyole Junction, Mwakwama amwsema ili jimbo hilo liwe la mfano, mshikamano unatakiwa…

Read More

JKT yatinga fainali ya CECEFA

JKT Queens imetinga fainali ya michuano ya Afrika Mashariki na Kati kufuzu Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake baada ya kuishinda Kenya Police Bullets kwa mikwaju ya penalti 4-2 kufuatia sare ya bao 1-1. Mechi hiyo imepigwa katika Uwanja wa Moi Kasarani, Naironi Kenya, ambako yanafayika mashindano hayo yaliyoanza Septemba 4 na fainali itapigwa keshokutwa…

Read More

Maandalizi duni yaiangusha JKU | Mwanaspoti

ALIYEKUWA kocha msaidizi wa JKU Princess, Noah Kanyanga amesema maandalizi hafifu yamechangia timu hiyo kutofanya vizuri kwenye mashindano ya CECAFA kufuzu Ligi ya Mabingwa Afrika. Baada ya JKU kuondolewa kwenye mashindano, rasmi sasa Kanyanga anarudi kwenye majukumu yake ya kocha mkuu Fountain Gate Princess. Mabingwa hao wa Zanzibar walimuazima ili aongeze nguvu. Akizungumza na Mwanaspoti,…

Read More