MTU WA MPIRA: Azam FC wana deni kubwa kimataifa
PAZIA la michuano ya kimataifa inayoendeshwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) ngazi ya klabu limefunguliwa rasmi wikiendi hii. Klabu mbalimbali Afrika sasa zinapambana kuweka heshima kuanzia juzi Ijumaa na jana zilipigwa mechi nyingine kabla ya leo Jumapili kupigwa michezo mingine. Kwa Tanzania timu za Yanga, Azam FC, Simba na Coastal Union zinawakilisha nchi. Simba…