RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE AZIDI KUNG’AA KIMATAIFA
……… Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika (AU), Mahamoud Ali Youssouf amemteua Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Mrisho Kikwete kuwa mwakilishi maalum wa ngazi ya juu anayesimamia na kuratibu masuala ya amani na usalama katika eneo la Pembe ya Afrika. Aidha, Rais Kikwete atasimamia pia ushirikiano wa kisiasa na kiuchumi, migogoro na…