Kinda Mtanzania atimkia Manchester | Mwanaspoti
SAFARI ya kinda wa Kitanzania, Gwakisa Mwakipesile imeanza kuonja ladha ya ushindani wa soka katika Ligi Kuu ya Vijana England baada ya kucheza mechi yake ya kwanza kwa walio na umri chini ya miaka 18. Mwakipesile anayekipiga katika timu ya vijana ya Manchester Rose FC alipata nafasi ya kucheza Alhamisi wakati timu hiyo ilipokutana na…