Mpanzu aizamisha Singida BS, Simba iking’ara ugenini
NI Elie Mpanzu ambaye dakika 15 za mwisho zilitosha kwake kuimaliza mechi ya Ligi Kuu Bara iliyochezwa leo Jumatano Machi 11, 2026 ambayo Simba iliibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Singida Black Stars kwenye Uwanja wa Airtel mkoani Singida. Wakati ambao kocha wa Simba, Steve Barker alikuwa akiumiza kichwa mchezaji wa kuamua mechi…