
Miradi 45 ya Kisayansi Kuonyeshwa Mashindano ya YST 20
SHIRIKISHO la Wanasayansi Chipukizi (Young Scientists Tanzania – YST) limetangaza kuwa jumla ya miradi 45 ya kisayansi imechaguliwa kushiriki katika Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi yatakayofanyika Septemba 18, 2025 katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM). Mwanzilishi Mwenza wa YST, Dk. Gozibert Kamugisha, alisema miradi hiyo imelenga kutoa suluhisho za kisayansi na kiteknolojia kwenye…