KIDO Balozi wa Kampeni ya USAID ya “Holela-Holela Itakukosti” Atinga kwenye Siku ya Nane Nane

Dkt. Salum Manyatta, Mkurugenzi Msaidizi wa Afya Moja kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu sehemu ya Afya Moja akiwa na KIDO wakijadili kuhusu kampeni ya “Holela Holela Itakukosti” inayolenga kupambana na Usugu wa Vimelea vya magonjwa dhidi ya Dawa (UVIDA) na magonjwa ya zuonotiki (magonjwa yanayoweza kuambukizwa kutoka kwa wanyama kwenda kwa binadamu) wakati wa maadhimisho…

Read More

Dk Mwigulu azungumzia wizi katika benki

Dar es Salaam. Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba ametaja maeneo yanayotumiwa vibaya na baadhi ya watumishi na wateja kuiba fedha benki, jambo linaloathiri sekta ya fedha. Miongoni mwa maeneo hayo ni uuzaji wa dhamana za wateja kwa tamaa kwa kuwawekea masharti magumu ya kumalizia kiwango cha mkopo kilichosalia, na utoaji wa mikopo ambayo haina…

Read More

Dkt Biteko awakemea Watumishi wanaokwamisha Wafanyabiashara

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka watumishi Serikalini kufanya kazi kwa kuzingatia maadili na misingi ya utoaji wa huduma ili kuleta matokeo Chanya na sio kuwakwamisha watu wanohitaji huduma. Dkt. Biteko ametoa agizo hilo (Julai 30,2024) wakati akizindua Sera Taifa ya Biashara katika hafla iliyofanyika Jijini Dar es Salaam…

Read More

Kibano cha kodi kwa wafanyabiashara wadogo chaja

Unguja. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango Zanzibar, Dk Saada Mkuya Salum amesema kuna ongezeko kubwa la ukuaji uchumi kupitia vyanzo vya biashara ndogondogo zinazofanywa mitaani, hivyo zinapaswa kufuatiliwa na kusajiliwa kwa lengo la kudhibiti mapato hayo yasiendelee kupotea. ‎Kauli hiyo ameitoa leo, Jumatatu, Julai 28, 2025, alipozungumza na masheha wa Wilaya…

Read More

UOGA WA WAANDISHI KUSHINDWA KUFANYIKA HABARI ZA UCHUNGUZI NCHINI

AMIDI Shule kuu ya uandishi wa habari na mawasiliano kwa umma, Dkt. Mona Mwakalinga amesema sababu inayopelekea kushindwa kufanyika habari za uchunguzi nchini ni uoga ambao umewakumba waandishi walio wengi. Amesema uandishi wa uchunguzi ni muhimu kwani unawawajibisha walioko kwenye mamlaka kwani wakienda kinyume habari za uchunguzi zitawamulika, Ameyasema hayo leo Agosti 30, 2024 katika…

Read More